Tuesday, January 14, 2014

TAMASHA LA GLORIOUS CELEBRATION JIJINI MBEYA

Tamasha la Glorious celebration la Anza Mwaka na Bwana na Maliza Mwaka na Bwana lilifanyika tarehe 29.12.2013 jijini Mbeya wakisindikizwa na Happy Kamili na Shekinah Glory Band pale Mkapa Hall.
Watumishi wa Mungu, Maaskofu na wachungaji mbali mbali walikuwepo katika tamasha hilo, Mgeni rasmi alikuwa Mheshimiwa (MB) Dr. Mary Mwanjelwa.
















No comments:

Post a Comment