Monday, April 29, 2013

GLORIOUS CELEBRATION - FAMILY DINNER.


GLORIOUS CELEBRATION - FAMILY DINNER.

 Usiku wa Jumamosi ya tar. 20/04/2013 ulikuwa ni usiku wa GLORIOUS CELEBRATION - Family Dinner. Kusudi kubwa lilikuwa ni kukutana na waimbaji wote wa GC kwa pamoja na wazazi wao, walezi na ndugu wa karibu. Hii pia ilijumuisha wanandoa kwa wana GC amabao wameoa au kuolewa.

Kwanza tunamshukuru Mungu kwa kibali na yote yaliyojiri. Pili tunamshukuru mlezi na mbeba maono wa GC, wazazi na wote waliofika. Kwa nyakati tofauti, mlezi wetu pamoja na baadhi ya wazazi walitoa mahusia mbalimbali. Kwa hakika ulikuwa usiku wa furaha kuwaona wanaGC kuwa pamoja na wazazi wao, ndugu jamaa na marafiki.

Ni matumaini yetu siku si nyingi tutakuwa na usiku wa wanaGC wote, yaaani pamoja na wewe. "Tazama jinsi ilivyo vema na kupendeza ndugu wakikaa pamoja kwa umoja ni kama mafuta mafuta mazuri yatiririkayo kichwani mpaka kwenye ndevu za haruni" Zaburi 133:1-2.

SIFA NA UTUKUFU KWA MUNGU

 

Mr and Mrs Mwakang'ata

Mama wa mwimbaji wa Gc (Joel lwaga)

Gc Acapella


Wazazi wa Acapella

Wazazi wa Joel
George Lyanga (mwenyekiti wa Gc)
Joel Lwaga

Mc
GC-Dancers

msosi
 















GC WAKIHUDUMU FOF(FRIENDS ON FRIDAY)

FRIENDS ON FRIDAY NDANI YA TAMALI HOTEL 


IE
















IBADA YA KUWEKA WAKFU GLORIOUS CELEBRATIION

Wachungaji wakiwaombea
Mama mlezi wa Glorious Celebration
Niguse kwa roho wakoo

George Lyanga
David -Nikubaliiii

Joel lwaga

vicky and Miriam

Aron Botto

Risper

John kuyokwa

Yussuph - Drummer

Bass guitarist - Justin wilson

Glorious celebration Dancers