Monday, May 6, 2013

AFLEWO TANZANIA MAY 2013

AFLEWO TANZANIA MAY 2013 PALE BCIC

Ule Mkesha Mkubwa wa Aflewo (Africa Lets Worship) ambao hufanyika mara moja kwa mwaka, umfanyika usiku wa leo katika Kanisa la BCIC Mbezi Beach. Mkesha huo ambao ni Maalum kwa ajili ya Kusifu, Kuabudu na Kuombea bara la Africa Umehudhuriwa na Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam na Vitongoji Vyake.

Mkesha huo ulifunguliwa rasmi na Askofu Sylvester Gamanywa kwa maombezi maalum ya Kuombea Taifa la Tanzania. Pia katika Mkesha huo kulikuwa na team ya watu kutoka Mwanza, Zanzibar na Moshi kwa ajili ya kupata uzoefu wa kuandaa aflewo katika Mikoa hiyo.


 Bishop Sylvester Gamanywa  akifungua mkesha

 

 

Mass choir



Aflewo mass choir



Ma MC wa event wakiwa kazini


Pastor Safari  

 


 





Pastor Abel akimwabudu Mungu


Madhabahu ya Mungu yamejengwa Tanzania


Joel Lwaga wa Glorious Celebration akiwa kazini.


Sound team..

 

Music director wa Aflewo 2013, Sammy akiongoza wimbo



Joel Lwaga



Ilikua furaha na shangwe


Dr. Ona akiongoza wimbo wa 'He'a Able'

 

 


MTBC praise team ndani ya AFLEWO


Mama Mchungaji MTBC akimsifu Mungu


Dancing team from DPC walikuwepo


The Voice pamoja na Angel Magoti nao walikuwepo


Rose Mushi 


Pastor Dickson wa MTBC Moshi akiongoza maombi.